Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Wakuu hivi kwa location ya Songea kwa mtaji huo anaweza akafanya bize gani? Mi niliwaza afungue salon lakini yeye hajui kunyoa. Ndo ilipo changamoto hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaa wa BombambiliYupo songea sehemu gani...nijibu hilo kwanza
Ila wewe jamaa dah😂😂😂😂Hivi inakuaje kuaje mpka mtu unamiliki 2milion wakuu ..? Mbona mm sijawahi kushika hata za kuazimwa tu
Hatuezi fanana bossMimi nafikiria pa kulipata buku jero niuone mchana, kumbe kuna watu wana 2ms halafu hawajui cha kuzifanyia?
Kwa kweli
Hatuezi fanana bossHivi inakuaje kuaje mpka mtu unamiliki 2milion wakuu ..? Mbona mm sijawahi kushika hata za kuazimwa tu
Afungue salon,aajiri mtu huku aakijifunza baada ya hapo anakaa yeye.Wakuu hivi kwa location ya songea kwa mtaji huo anaweza akafanya bize gani? Mi niliwaza afungue salon lakini yeye hajui kunyoa. Ndo ilipo changamoto hapo.
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Shukrani kwa usharudi thanksAfungue salon,aajiri mtu huku aakijifunza baada ya hapo anakaa yeye.
Kama kipi bossaangalie kama kuna kitu anaweza kwanza.
ewaah, odd tano tu, mtaji mkubwa zaidi anapata
Hapana bossSi useme tu kua ni wewe,au kuna tatizo mpaka ujifiche kiasi hicho?