Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 4,062 Reaction score 5,741 Jun 22, 2023 #61 fundi bishoo said: Hivi inakuaje kuaje mpka mtu unamiliki 2milion wakuu ..? Mbona mm sijawahi kushika hata za kuazimwa tu Click to expand... Ni mtu aliyekua anaweka 2000 kila siku kwa miaka miwili na miezi 10
fundi bishoo said: Hivi inakuaje kuaje mpka mtu unamiliki 2milion wakuu ..? Mbona mm sijawahi kushika hata za kuazimwa tu Click to expand... Ni mtu aliyekua anaweka 2000 kila siku kwa miaka miwili na miezi 10
Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 4,062 Reaction score 5,741 Jun 22, 2023 #62 Mzee wa kusawazisha said: Alikua kibarua vijijin mashamba ya miti Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app Click to expand... Anunue shamba la miti
Mzee wa kusawazisha said: Alikua kibarua vijijin mashamba ya miti Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app Click to expand... Anunue shamba la miti
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,877 Reaction score 5,022 Jun 22, 2023 #63 Atafute bike nzuri ya 1m Sinoray King lion Skygo n.k Apige kazi mwenywe kwanza aanze kusave Then hiyo 1m iliyobaki aifiche
Atafute bike nzuri ya 1m Sinoray King lion Skygo n.k Apige kazi mwenywe kwanza aanze kusave Then hiyo 1m iliyobaki aifiche
michibo JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 2,315 Reaction score 3,915 Jun 22, 2023 #64 Mwambie akule hiyo pesa.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Jun 22, 2023 #65 Sisyphus said: Ni mtu aliyekua anaweka 2000 kila siku kwa miaka miwili na miezi 10 Click to expand... Duuh kumbe inawezekana..?
Sisyphus said: Ni mtu aliyekua anaweka 2000 kila siku kwa miaka miwili na miezi 10 Click to expand... Duuh kumbe inawezekana..?