Ana mimba na Condom imetumika kwa usahihi

Condom is not 100% Safe. Mambo kama hayo huwa yanatokea sana.
 
Always tunaambiwa mtoto ni wa Mama. Akibanwa sawasawa atamtaja aliyempa mimba. Wanaume tusiwe wakali kwa kung'ang'ania watoto wasio tuhusu na kwa taarifa tu kule DNA inabidi kusimamia hasa maana kuna tetesi pesa hupitishwa ili kuhalarishwa.
 
Hayo ndio matunda ya uzinzi,kuokoa familia zote mbili zibaki salama ni hiyo mimba kutolewa mapema la sivyo ni unyanyasaji wa watoto kukosa walezi,na hizi tamaa za ngono ndizo zinazo nyima haki ya malezi ya mtoto na uvunjikaji wa ndoa
 
Nikisoma between lines napata kizunguzungu sana.
1. Huyu mwanamke ni kicheche sana miezi mitano tu tayari ushatoka nje ya ndoa ikiwa mwaka uko masomoni itakuwaje si ataigawa nchi nzima
2. Huyu mwanaume naye kicheche sana ugomvi wa watu wewe unasherekea
3. Washavunja amri ya sita "usizini" waendelee kuvunja na ile ya "usiue"
4. Huo ugomvi na mumewe amejua nini chanzo yaweza kuwa ni yeye mwanamke?
5. Suluhisho kaona kutoka nje ya ndoa?
6. Kukimbia tatizo si suluhisho kabiliana nalo mpaka mwisho
7. Alichokifata nje ndo kashakipata aombe mungu na UKIMWI awe hajaupata.
8. Pia kuna walakini na hiyo mimba inawezekana kabisa sio ya huyo mwanaume ni ya mtu mwingine nina wasiwasi na hili kwa upande wangu

Dermto nawasilisha Mkuu
 

Nimekusoma mama nitawatafuta leo jioni baada ya kukusanya michango ya wanajf ambayo mpaka sasa naona mwanga na msaada mkubwa wa ushauri ambapo nitaweza kuamua kesi hii kwa kuwatenga na kusikiliza mmoja mmoja na mapendekezo yao pia nina mpango wa kumtafuta rafiki yangu daktari nitaenda naye kama atakuwa na muda ili tupate nguvu za hoja zaidi kuwanusuru na uzembe na upumbafu huu
 


Ha ha ha hapo umeongea kweli kabisa Garma. Naaaasii
 
Ha ha ha hapo umeongea kweli kabisa Garma. Naaaasii


Ukweli ni kuwa huo ni mchemko na sijawahi kukutana kitu kama hiki kwenye vimeo nilivyowahi kusuluhisha siwezi kuwatupa
 

Ni kweli aidha kifutio kimoja kuonesha kuwa wanapendana sana au wakati wa kuvua hiyo kondom wale askari wa kijerumani walidondokea kwenye samosa ya huyo dada. Je, walifuata taratibu zote za kutumia kondom ikiwemo ile ya kuchomoa shaft mara tu baada ya ejaculation? Kama jamaa alikuwa anasikilizia maraha baada ya ejaculation na shaft kusinyaa kabisa ikiwa bado ndani ya cylinder basi ajue ni yeye. Pia inawezekana kwenye fore play walishikana shikana sehemu zao na kuhamisha chromosomes kwani kisayansi kuna mbegu huwa zipo mlangoni yaani kwenye tip ya shaft mara shaft inaposimama na kuweza kushikisha mimba mara zinapogusa samosa - sasa yawezekana migusano kama hiyo ilitokea. Au walipga 69 halafu tongue kiss halafu waka-rewind 69 mambo yakajipa kwa sababu ya wajerumani kuwa attentive hata kabla ya climax.
 
Sio kwamba ukitenda dhambi inabidi kutubu na kuacha kabisa kutenda dhambi?

Wewe unawakia mema kweli maana hapo ujue ndoa zote mbili ziko matatani na kusababisha ongezeko la watoto mitaani. Wamalizie hiyo dhambi ya mwishoa thena watubu.
 

haya bana, mwanamayu una mambo wewe!!!!!!!!
 

Mwanamayu uko juu BIG Thnx.
tena umenizibua masikio kabisa halu kuna kitu kingine alichangia mtu mmoja hapa kuwa hata ule ute wa awali ni hatari tupu na inawezekana kuwa wakati wa kushikashika na kupeleka vidole zile sehemu za mwanamke akashika na yake na kuna uwezekano mbegu zilikuwa bado mbichi kabisa zikakamata kwa mwanamama huyo na kufikia huko waliko sasa.
 
Thanx. Kwa uelewa wako mkubwa Haya yote niliuwaliza kiundani sana lakini mwanamke alikiri kuwa walizingatia yote kwa usalama wake zaidi ila hajui imetoka wapi.

Mwanamke ameficha ukweli fulani, Unless kapata mimba kwa nguvu za Sheikh Yahaya na zingine zinazofanana na hizo. Waitoe tu hiyo mimba (Mauaji) halafu dogo aachane na huyo mwanamke. Kwanza alifanya kosa kubwa la kutembea na mke wa mtu, ni hatari sana.
 
Always tunaambiwa mtoto ni wa Mama. Akibanwa sawasawa atamtaja aliyempa mimba. Wanaume tusiwe wakali kwa kung'ang'ania watoto wasio tuhusu na kwa taarifa tu kule DNA inabidi kusimamia hasa maana kuna tetesi pesa hupitishwa ili kuhalarishwa.

Ina maana uchakachuaji uko mpaka huko kwenye DNA? Basi wanaume tumekwisha
 
hahahahaha! watu wengine bwana, nilikuwa nasikitika ikabidi nicheke kwanza!

Pia mimi maana mazingira yenyewe ni tata sana labda kumekuja tech.mpya huwezi jua
 
Mwanamke ameficha ukweli fulani, Unless kapata mimba kwa nguvu za Sheikh Yahaya na zingine zinazofanana na hizo. Waitoe tu hiyo mimba (Mauaji) halafu dogo aachane na huyo mwanamke. Kwanza alifanya kosa kubwa la kutembea na mke wa mtu, ni hatari sana.

Umenena kama ilivyo
 
Derimto mimi nafikiri hili suala kabla ya watu wengine nje kupata habari, kwanza kama unamfahamu mume wa huyo dada vizuri au tafuta rafiki yake mkubwa ambaye anaweza kumsikiliza, amwambie hiyo ishu akiwa na huyo rafiki ili aweze kumconvince amsamehe mkewe, najua inawezekana na upande wa huyo kaka wewe unaweza kuongea na mkewe kwa lugha laini akakuelewa, wanawake ni rahisi kuelewa na kusamehe pia baada ya hapo ndipo uwakutanishe wote, mke na mume na mke na mume. Yakienda nje yatakuwa makubwa zaidi na itakuwa embarrassment ya ajabu kwa ndoa zote mbili.
 

Yaani we funza acha tu umenifurahisha sana, hao ni wanafiki sana, wangekuwa wanajali dini hayo yasingetokea, mimi naona kama tuwaache tu watafute wenyewe lakufanya maana hata wakati wanataka kuanza uhusiano hawakutushirikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…