Ana mimba yangu

kwaangw

Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12
Reaction score
0
Hodi JF;

Siku za karibuni niliingia kwenye uhusiano na mdada mmoja ambaye nilihisi anafaa kuwa mke. Nikamtokea na kwa bahati nzuri akakubali tuwe wachumba, sasa si unajua tena mwanaume nikataka nipewe mzigo, mdada wa watu akataka tupime kwanza HIV nikakubali kwani nilikuwa najiamini.

So tukapima wote tuko safi, baada ya hapo mapenzi moto moto yakaanza ingawa tulipo do for first day mi sikupenda maana mdada alikuwa kapooa kweli. So nikaona nianze kumyeyusha maana sikufurahia kabisa ladha yake. Ila binti ndo akawa amefika maana kila saa anataka tuwe pamoja na tukikaa kidigo faragha anataka na mi sikuwa tena na hamu naye. Sasa baada ya kama mwezi moja akaibuka eti anahisi ana mimba yangu.

Mimi sikuamini kabisa maana nilikuwa namwulizi siku zake kila tulipofanya na ikaonekana alikuwa kwenye dry period. Kwa aliponiambia hivyo sikuamini na nilikuwa safari, so nimweleza kuwa nikirudi tuka prove. Niliporudi akasema yeye alisha pima na ana mimba na akataka nimweleze tufanyeje?

Kwa kuwa nilikuwa najiamini kwa kiwango fulani nika mweleza kuwa yeye ni mwongo ananicheat, nikaweka msimamo kuwa hana mimba na ikabainika hana mi na ye basi. Nilipo mwanbia hivyo akasema ni kweli hana mimba ila alitaka tu kujua msimamo wangu.

Sasa mimi nimeona nimwache tu kwa sababu
  • sijamfurahia katika tendo, she is so cold
  • nimeona ni mwongo mwongo fulani
  • msumbufu
Au wadau mnaonaje
 
Yes, hilo ndilo wazo la busara. Vinginevyo ungejikuta unampotezea muda pamoja na wewe kupoteza muda wako pia. Kama hum-feel mtu, solution ni kuachana naye tu.
 
mh! mkuu wenzetu hawa wanapenda toka moyoni, sex kwao si starehe km sisi wanaume ambao tunahitaji nafasi tu kiduuuchu tu lkn ile coldness yake ilikuwa sign tosha kwako kwamba alikuwa hana uhakika kwamba wewe ni mkaaji au mpita njia tu. km akikupa yoote na kesho usirudi tena je? ingemuuma zaidi kuliko hii kwamba hata ukimkimbia hakukupa yooote. wenzetu kukupa ule mzigo wanafikiria mara mbilimbili hasa kwa wale decent na huko kukupima ni kweli kujua msimamo wako na uwezo wako wa ku handle mambo km hayo. mara nyingi game za mwanzo huwa na tension sana, kwanza hamfahamiani vizuri so kwa mwanamke mwenye haiba ni vigumu kucheza mechi kwa ufasaha km proffesional. lazima ajikinge. kwa hizo sign anazokuonyesha sasa mkiingia kwenye game tena lazime akuzidi pumzi. jaribu utaniambia!
 
  • sijamfurahia katika tendo, she is so cold
Au wadau mnaonaje
Mkuu lazima ujue kwanini alikuwa cold, sababu kama msichana hakiwa hayupo tayari kufanya tendo, labda kulazimishwa, au yupo emotionally au anakumbuka kitu kilishowahi tokea (labda rape) basi lazima atakuwa cold na its up to you kwenda nae polepole ili akuamini na sio kumkimbia au kumpiga kibuti.., cause kama alishawahi kuchezewa basi na wewe utamuongezea imani ndogo kwa wanaume, especially wewe ulivyosema kwamba ulikuwa unalazimisha tendo


  • nimeona ni mwongo mwongo fulani
Hapana Mkuu huenda alikuwa hayupo tayari kukupoteza so akawa tayari kufanya anything ili uwe karibu nae, (ni kweli kama alidanganya ilikuwa ni uongo wa kijinga) lakini maybe motive ilikuwa ni love kwako

Kwahiyo mkuu kama humpendi basi achana nae ili usije kuendelea kumchezea, lakini kama unampenda na hizo sababu ulizotoa ndio cause ya kumuacha huenda ukaweza kuzirekebisha
 
  • sijamfurahia katika tendo, she is so cold
  • nimeona ni mwongo mwongo fulani
  • msumbufu

I CAN SMELL UDHALILISHAJI FULAN HIVI,KWANI KAMA YUKO COLD_IF ITS TRUE ANYWAY KUNA HAJA GANI KUJA KUANIKA HAPA,..MAAKE SIDHANI KUNA KAMA KUNA MTU ATAAUNGA MKONO ETI UMWACHE TU SABABU NI COLD,..HALAFU SIJAONA UONGO WALA USUMBUFU WAKE ZAIDI YA CHUKI ZAKO DHIDI YAKE.

HOJA HAPA NI HAUPENDI HIVYO ACHANA NAE KIMYA KIMYA ACHA MAMBO YA KUSEMA VITU VISIVYO NA MSHIKO,.......
 
Mscheeeeeeeeeeeeeeeeewwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww...kifyoonzooooooooooooooooooooo.
Na mimi ni mwanaume, imagine wat a lady atajisikia akisoma hapa!
 
Aisee mnataka mshee maamuzi ya kuumiza moyo wa mtu. Aisee katubu na usirudie tena. Hiyo yaitwa balaa na kiimani ni MAJARIBU.
 
Tabia hizi huwa sizipendi,kwanini mnaharibiana maisha?
 
Simpendi mwanamme anaependa kuongelea mambo ya chumbani,kwani kama hutaki si basi ishia,inahusu nini kujihashua she is so cold
ungemuanda asingekua hivyo umemparamia kama unapanda farasi hukua na subra.kesha kupa dada wawatu sasa unainanga.
 
Wanaume kwa kuonja onja nyie!! Lol.
We mwenyewe utakuwa wa baridiiii.
 
She is so cold...................amekuwa samaki??????????

Ukweli ni kwamba HUJUI MAPENZI................umezoea kuparamia kama uko vitani.................

Halafu UKOME tabia ya kudhalilisha wasichana wa watu........................kuanika yalojiri huko chumbani unaona ufahari eeh?
Kwanza mwache haraka wala HUMFAI....................atapata atakayempenda kwa dhati na anayejua mapenzi.
 
Hii ndiyo hasara ya mwanaume kutokutailiwa,
mwanaume aliyetairiwa kamwe hawezi kusema ya chumbani............................
 
Hawezi kusema ya chumbani hadharani..............
 
Hodi JF;

  • sijamfurahia katika tendo, she is so cold
  • nimeona ni mwongo mwongo fulani
  • msumbufu
Au wadau mnaonaje

Naona umechemka. Kama umeona umwache unatafuta ushauri gani hapa? Well, if she is "so cold" then make her warm.
 
Even u were cold! With that coldnes did u cum? Haha! Pathetic! We sema kawaida yako kupanda na kusepa! Hate it...aagghh!
 
We ni mwanaume suruali,
We unafikiri kupenda au ndoa ni kufanya mapenzi tu?Kama hamna nia ya kuwaowa wadada wa watu msiwe mnawachezea make inaonekana dhahiri nia yako hapo ilikuwa ni kumchezea tu na kukuambia kuwa alikuwa na mimba yako hiyo alikuwa anakupima kuona una akkili kiasi gani.
Nachukia! nachukia! nachukia! wanaume wa aina kama yako.
 
Wanaume kwa kuonja onja nyie!! Lol.
We mwenyewe utakuwa wa baridiiii.

I am sure of what you are saying..and I can assure you he is the problem that the poor lady he used for sex...imbecile
 
Yaani sababu nyingine za kijiiingaaaaa...... Hivi unafikiri mapenzi ni ngono ee? Eti she is so cold....make her warm then, alaaa! Unachezea mtoto wa watu alafu unakuja kumdhalilisha hapa unafikiri sifa. Alafu inaonyesha jinsi gani ulivyo irresponsible, hupendi kabisa majukumu yaani mkwara kidogo tu mwanaume ushakimbia, ovyooooo! Wewe ndo humfai bora umemuacha coz ungemsumbua. Umesharidhika na ngono yako ndo unajifanya eti she is cold. Mijanaume mingine bana sijui akili zao zipo kwenye makalio!
 
Hukumshika panapotakiwa thus why unalalamika ,kwa taarifa yako hamna mwanamke baridi , joto lake utaliona pale unapomshika panapotakiwa anyway sikulaumu sana inaonekana wewe ni wale wale voda fasta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…