Ana mshahara wa 650000 anataka kuchukua mkopo

Suala sio kukopa, suala ni mkopo anaenda kuufanyia nini.

Ushauri mzuri ni kupima kile kinachoenda kufanya na mkopo wenyewe.
 
Anaonba ushauri, anataka kuchukua mkopo wa mkubwa,je Kwa basic salary hiyo ya 650000 atapata kiasi gani?
Anaonba ushauri na je atabaki na shilingi ngapi take home Kwa muda wa miaka 7?
Asanteni.
Kwa kutumia NPV au IRR[emoji15]
 
Anaonba ushauri, anataka kuchukua mkopo wa mkubwa,je Kwa basic salary hiyo ya 650000 atapata kiasi gani?
Anaonba ushauri na je atabaki na shilingi ngapi take home Kwa muda wa miaka 7?
Asanteni.
Kwa Compounded Interest Rate atabaki na 250,000
Atapewa 11M Tozo and Insurance Excluded
 
Kwa CRDB kuna calculator yake ambayo unaingiza Basic na Take home na Muda unaotaka kukopa (miaka), itakupa possible loan unayoweza pokea na malipo kila mwezi.

Nimeweka link hapa CRDB Mkopo
Naomba calculation ya fixed account kwa crdb mkuu, Kama mtu akiweka 60milion atapata shingap kila mwezi kwa miaka 3

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Anaonba ushauri, anataka kuchukua mkopo wa mkubwa,je Kwa basic salary hiyo ya 650000 atapata kiasi gani?

Anaonba ushauri na je, atabaki na shilingi ngapi take home kwa muda wa miaka 7?

Asanteni.
Kwanza anataka abaki na how much after deductions za mkopo? Na je anata lipa kwa muda gani na interest rate iwe charded
 
Kwa CRDB kuna calculator yake ambayo unaingiza Basic na Take home na Muda unaotaka kukopa (miaka), itakupa possible loan unayoweza pokea na malipo kila mwezi.

Nimeweka link hapa CRDB Mkopo
CARDB Wana mikopo riba nafuu 13% ila lazima uhamishie mshahara upitie kwao na tatzo lingine nasikia wamezidiwa na wateja wanaotaka mikopo kwahio unaweza kungoja hata miezi 3 hujapata mkopo 😥
 
Anaonba ushauri, anataka kuchukua mkopo wa mkubwa,je Kwa basic salary hiyo ya 650000 atapata kiasi gani?

Anaonba ushauri na je, atabaki na shilingi ngapi take home kwa muda wa miaka 7?

Asanteni.
Cha kwanza ni kujua Bank anayotaka kukopa inatoa mkopo kwa asilimia ngapi?
Mfano Bank x inatoa mkopo kwa asilimia 12%
Mimi nachukua milioni 40 mshahara wangu milioni 2,000,0000/= mda wa mkopo miaka 5

Malipo kwa mwezi
889,777.91/=

Faida itakayochukuliwa na benk
13,386,674.44/=

Kiasi ntakacho rudisha mkopo pamoja na faida yao
Milioni 53,386,674.44/=
 
Ni almost 20-25M kwa miaka 7 mpaka 8.

Hii ni kwa NMB na CRDB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…