Ana mtoto wa miezi minne na wiki 3. Anahisi amepata ujauzito ananiuliza afanyeje nasita nimshauri lipi hasa kwa afya yake

Umefurahisha sana. Mbona miezi minne kawaida! Kijana wangu alimpachika mimba mke wake mwezi mmoja baada ya kujifungua mke wake. Yaani baada ya miezi 11 mke wake alijifungua mtoto mwingine
[emoji119]
 
Nashukuru kwa ushauri mzuri. Sina tatizo na kupata mtoto mwingine, wasiwasi wangu ni afya ya mama maana baada ya kujifungua aliumwa kiuno karibia miezi miwili ila tulisikiliza ushauri wa wataalam aliacha kubebe vitu vizito au kuinama hadi hali hiyo iishe kabisa na kweli ana ili isha baada ya miezi miwili. Itabidi tuende hospitali next wk then tutafanya atakacho shauri daktari
 
Hiyo miezi mbona michache, shost wangu alijifungua tu hivi ndani ya miezi miwili alikuwa na kitu na box na alijifungua fresh
 
Miezi 4 mbona mingi zaeni tu Mkuu, msitoe.
 
Zaeni tu....hamna namna,hakuna bahati mbaya katika maisha ila kuna uzembe au makusudi....you should plan your family and take precautions before,........
 
Watoto wote wawili alijifungua kawaida na mara zote amepata support yakutosha kabisa.
 
Hakuna matatizo yoyote kama kujifungua atajifungua vizuri tu, kama mkiamua kutoa ndio inaweza kua mbaya zaidi.

* In every decision you make there is a price to pay.
 
Hakuna matatizo yoyote kama kujifungua atajifungua vizuri tu, kama mkiamua kutoa ndio inaweza kua mbaya zaidi.

* In every decision you make there is a price to pay.
Nitasimamia hili. Nimepitia uzi mmoja wa Dada aliye toa mimba humu jukwaani sita penda kimpate mke wangu. Tutapambana na tutatoboa tuu
 
Nitasimamia hili. Nimepitia uzi mmoja wa Dada aliye toa mimba humu jukwaani sita penda kimpate mke wangu. Tutapambana na tutatoboa tuu
Maamuzi ya busara kbs, hakuna sababu ya kutoa.
Yaan wanafunzi watoe, na nyie mlio ktk ndoa mtoe!!!!
 
Ase mm sipendi kabisa huu upuuzi hivi inakuwaje lakini unampa ujauzito mkeo ana mtoto mchanga ww ni mshenzi tu.

Yani unamwaga kojo lako kabisa hivi ata hujui kiafya unamwalibu mtoto kupitia maziwa yake??

Njia nzuri si tumia basi ata mpira kipindi mama hajaenda kwenye njia za uzazi wa mpango.

Pia utamwaribu mtoto inatakiwa mkifanya ayo mambo yenu muoge vzr wote kabla hamjambeba huyo mtoto..

Mm naonaga njia nzuri ni mpira tu ata ayo mavitanzi cjui masindano yanamadhara natumiaga mpira tu.
 
Cha kwanza : Confirm kama kweli ana ujauzito au la? Nunua UPT mpime au mpeleke dispensary ya karibu akapime.

Kama ana ujauzito basi utambue unahitaji kufanya maamuzi magumu sana. Mana kutoa ni mtihani na kubaki nayo ni mtihani.

Ila kama mkifikia hatu muiflash basi ni vema mkafanga very early.

Pole, hicho ni kipindi kigumu sana.

Nb:Mimi sio Mtaalamu wa Afya
 
Tatizo hapa Watoto wakikua wata 'kalukuleti' birth days zao alafu wataona dingilii alicheza rafu.
 
Kwanza ni mkeo alafu unasema mliendelea kupeana uroda kama vile ni hawara yako...

Pili kitanda hakizai haramu kwa nini mtoe mimba, unless kama kutakuja kua na complications na hiyo ithibitishwa na daktari...

Zaidi ya hapo muache azae...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…