Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 630
- 1,113
Huu ubinafsi wa kiwango cha juu sana
Una watoto watatu wa kwako ila unasema huamini katika kuwa mahusiano na mwanaume mwenye mtoto.
Ama unapenda mwanaume awe baba kwa watoto wako ambaye ulizaa na mtu mwingine. Ila akiwa baba na kutimiza majukumu kwa mtoto wake unakunja sura na amani inapotea.
Wanawake wengi huwa ni chanzo cha mwanaume kuignore mtoto wake aliyempata kabla ya kukutana na mwanamke mwingine.
Ukijali kwake sawa, ukijali kwako bugudha yaanza...
Kuna mambo.