Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
YANGA VS BERNARD MORRISON: UELEWA WANGU WA UAMUZI WA CAS
Jumatatu tarehe 22 Novemba, 2021.
Tarehe 12 Agosti, 2020 Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya TFF ilitoa uamuzi wa shauri la Yanga dhidi ya Morrison na kuamuru kuwa Mkataba wa Pili wa Yanga na Morrison haukuwa halali na hivyo Morrison kutakiwa kuirejeshea Yanga USD 30,000 ilizokuwa imempa. Hivyo:
(1) Yanga ilipinga maamuzi ya kuthibitishwa Bernard Morrison kwenda Simba na tayari ilikuwa imempa USD 30,000/=
(2) Pili kutokana na hilo Yanga ilmtaka ailipe USD 200,000/= klabu hiyo kama gharama za kuvunja Mkataba.
CAS wamekubaliana na maamuzi ya Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji hivyo Morison anatakwia arejeshe USD 30,000/= (Takribani Tshs 75,000,000/=) alizopokea kutoka Yanga.
Hakuna gharama nyingine za ziada ambazo Yanga au Morrison anatakiwa amlipe mwenzake kwa sababu gharama za kesi zilibebwa naYanga.
Sent using Jamii Forums mobile app