Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) uchuro wa taifa

Andiko bora la mwaka.
 
Kwanza akalee wale watoto aliowatelekeza, asituletee upumbavu hapa..
Mbona baba yako wewe alikutelekeza wakati ukiwa na miaka miwili hakukulea na umekuwa vizuri na ndio maana umepata fursa ya kuchangia hapa.

Acha wivu binti hayo sio maisha dada
 
Mbona baba yako wewe alikutelekeza wakati ukiwa na miaka miwili hakukulea na umekuwa vizuri na ndio maana umepata fursa ya kuchangia hapa.

Acha wivu binti hayo sio maisha dada
WE BAA VICHAA QUEEN, TULIA USIJE TIWA MIMBA.
 
Wazalendo hawapo tena wamebaki wachumia tumbo
Ila lipo tumaini litakalochipuka kama mbuyu jangwani
 

Niliwahi kueleza humu mtandaoni kwamba endapo kama atajitokeza 'Idd Amin Dada' mwingine na kisha akaivamia Nchi hii, basi huyo Idd Amin wa pili atapata ushindi mnono Sana katika uwanja wa vita kwa sababu wapo Watu wengi Sana katika nchi hii watamuunga mkono pakubwa Sana. Hataweza kupata gharama za kuwaleta Wapiganaji wengi kutoka huko nchini kwake anakotokea kwa sababu atapata Wapiganaji wengi zaidi hapa hapa Tanzania. Dalili zote kabisa kuhusu suala hili tayari zipo wazi kabisa, Wala hakuna kificho tena. Kutokana na kuwepo kwa Siasa chafu Sana katika Nchi hii, waTanzania wameparaganyika vibaya sana kupita kiasi. Moto wa pumba unaoendelea kufukuta hapa nchini kwa Sasa hivi unakaribia kulipuka na kisha kuteketeza kila kitu kilichomo. Ni suala la muda tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…