Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Ameyataka mwenyewe!Huwezi kusema wewe ni mtetezi wa haki, mwanademokrasia, mwanaharakati na muumini wa utawala bora lakini ukaona kuwa suala la Dkt. Wilbroad Slaa kukamatwa usiku wa manane na kunyimwa dhamana halikuhusu. Dkt. Slaa anateseka gerezani kutokana na ukatili uliopakwa manukato mazuri!
View attachment 3198339
Kapiga kwenye mshonoHuwezi kusema wewe ni mtetezi wa haki, mwanademokrasia, mwanaharakati na muumini wa utawala bora lakini ukaona kuwa suala la Dkt. Wilbroad Slaa kukamatwa usiku wa manane na kunyimwa dhamana halikuhusu. Dkt. Slaa anateseka gerezani kutokana na ukatili uliopakwa manukato mazuri!
View attachment 3198339
kwani alivyokua anadokoa sadaka za waamini alipokua kasisi, ule haukua ukatili?Huwezi kusema wewe ni mtetezi wa haki, mwanademokrasia, mwanaharakati na muumini wa utawala bora lakini ukaona kuwa suala la Dkt. Wilbroad Slaa kukamatwa usiku wa manane na kunyimwa dhamana halikuhusu. Dkt. Slaa anateseka gerezani kutokana na ukatili uliopakwa manukato mazuri!
View attachment 3198339
Sema umechoka.Mungu asimame Mbowe atoke madarakani kwakweli
TUMECHOKA
Utakuwa una ngwengwe ya kichwani wewe si bureAskofu amekonda sana, labda alimuoa JULIANA
Akajibu mashataka yake mahakamanikwani alivyokua anadokoa sadaka za waamini alipokua kasisi, ule haukua ukatili?
na Je,
alivyo iakana familia yake na watoto, na akaanza kumendea na kupora wake za watu, ule haukua ukatili, tamaa na dhuluma, eti baba Askofu?
na je,
kuisaliti CCM, na kisha kuisaliti chadema, na baadae kuisaliti tena CCM hiyo sio laana kweli baba Askofu?
na mbona hekima na busara imetoweka kabisa ndani ya babu huyu?
au haki ni kuwazushia wengine uongo na kuwanenea wengine mabaya na maovu? Eti baba Askofu,🐒
Hii hamchafui Dr Slaa kwa sababu atatoka, au hata kama akifungwa kitakachochafuka ni serikali na kama Dr Slaa alikuwa na Lengo la kuichafua Serikali atakuwa ametimiza lengo lake kwa asilimia mia moja,vingine serikali inatakiwa kuviacha vikapita tu,Ameyataka mwenyewe!
Kukosa wajukuu na vitukuu wa kuwalea huko nyumbani kwake,kunamfanya mdomo unawasha!
Kuna kula dalili atalamba mvua ya mawe
Huwezi kusema wewe ni mtetezi wa haki, mwanademokrasia, mwanaharakati na muumini wa utawala bora lakini ukaona kuwa suala la Dkt. Wilbroad Slaa kukamatwa usiku wa manane na kunyimwa dhamana halikuhusu. Dkt. Slaa anateseka gerezani kutokana na ukatili uliopakwa manukato mazuri!
View attachment 3198339
Huwezi kusema wewe ni mtetezi wa haki, mwanademokrasia, mwanaharakati na muumini wa utawala bora lakini ukaona kuwa suala la Dkt. Wilbroad Slaa kukamatwa usiku wa manane na kunyimwa dhamana halikuhusu. Dkt. Slaa anateseka gerezani kutokana na ukatili uliopakwa manukato mazuri!
View attachment 3198339
serikali haiwezi kuchafuliwa na mdokozi wa sadaka za waamini aliefukuzwa kazi na kanisa,Hii hamchafui Dr Slaa kwa sababu atatoka, au hata kama akifungwa kitakachochafuka ni serikali na kama Dr Slaa alikuwa na Lengo la kuichafua Serikali atakuwa ametimiza lengo lake kwa asilimia mia moja,vingine serikali inatakiwa kuviacha vikapita tu,
Muache akaozee gerezaniJeshi la polisi lijifunze kwenye Nchi zingine, Sasa wanakamata mtu wakiwa hawajui wanamshtaki kwa angle ipi(kwa mujibu wa RPC Dar), wangekamilisha ushahidi then aitwe mahakamani,Sasa wanambeba kama jambazi.
Wengi ni victims wa jeshi hili.