Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Bugati Naomba nisikilizwe haraka,nna hoja!!
1. Robertinho kawa kocha bora wa ligi mwezi uliopita,tena katangazwa juzi tu.
2. Ameshinda mechi sita kati ya saba za ligi msimu huu, Sisi watu wa hesabu tunasema ameshinda kwa asilimia 85.7
3. CAF Champions League ameingia makundi.
4. African Football ligi ameitoa jasho bingwa wa Afrika Al Ahly.
Toka kaja kwa Makolo kafundisha kama kocha jumla ya Mechi 18, Mechi 15 kashinda , 2 kadroo,Ni moja tu ya Juzi kafungwa,
Ana Clean Sheets 8,kafunga goli 45 na kafungwa goli 17 tu.
Vipi afukuzwe kwa kufungwa mechi moja tu, au mlimsajili kuifunga Yanga tu, na tuseme hizo mechi nyingine alizofanya vizuri mlikuwa mnashinda kiujanja ujanja au? Mmemtoa Mbuzi wa kafara, kiukweli bado hamjatibu kidonda Sugu mlichonacho.
Tatizo kubwa la Makolo wanakosa Quality ya Management Skills alizonazo Hersi, Sio Viongozi wa kileo na hawaendi na Wakati kisha wanajifanya wajuaji mno.
Viongozi wao wanaongoza team kishamba na kizamani mno, Nyie wenyewe ndio mmemletea Wachezaji Kocha, yeye afanyaje kwa mfano? Ana rundo la Wastaafu pale kambini!!
Ila Wananchi tumewakomesha Wadudu,Si mlikuwa mnasema Yanga haiwezi kumfunga Robertinho? Kiko wapi? Khamsa dadadeki
Pyeeeeeeeeeee na bado"