Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 11,769 Reaction score 16,799 Aug 3, 2021 #21 Me too said: Unataka ile nafasi ya waziri wa ulinzi? Too bad Click to expand... Hiyo nafasi bora upewe wewe mama watoto kuliko huyo fisadi papa
Me too said: Unataka ile nafasi ya waziri wa ulinzi? Too bad Click to expand... Hiyo nafasi bora upewe wewe mama watoto kuliko huyo fisadi papa
Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 11,769 Reaction score 16,799 Aug 3, 2021 #22 Mshana Jr said: Kipochi manyoya[emoji851][emoji39][emoji2957] Click to expand... Mtani subiria kwanza tumefiwa na boss wetu wa ulinzi
Mshana Jr said: Kipochi manyoya[emoji851][emoji39][emoji2957] Click to expand... Mtani subiria kwanza tumefiwa na boss wetu wa ulinzi
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 Aug 4, 2021 #23 January Makamba ana kasoro ndogo ndogo za kibinadamu, ila ana Hekima na Busara za kutosha sana. Anafaa kuwa Kiongozi wa Uma kama ataacha kujisikia. Kama atajishusha basi atafutiwe nafasi ya Uongozi tena.
January Makamba ana kasoro ndogo ndogo za kibinadamu, ila ana Hekima na Busara za kutosha sana. Anafaa kuwa Kiongozi wa Uma kama ataacha kujisikia. Kama atajishusha basi atafutiwe nafasi ya Uongozi tena.
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Aug 4, 2021 #24 wameshindwa kupata ujiko kwenye siasa wanakimbilia kwenye mpira