methodman
Member
- Nov 1, 2010
- 14
- 0
Wana Jamii shaurini,
Ndugu yangu anampenda msicana mmoja ambao wote ni wadogo 1st year chuo.Cha ajabu yule msichana hamtaki lakini jamaa analazimisha hadi amewahi kutaka kujiua....
Cha kushangaza zaidi ni kwamba huyu ndugu ameamua kuweka ugomvi na kila msichana hadi mke wangu eti kisa anawachukia kwa kuwa bado hajampata na atashirikiana nao pale tuu atakapompata dada huyu.
Pia anasema asippompata hataoa kabisa kabisa na ataishi mwenyewe hadi mwisho.
Kingine huyu dada pamoja na udogo wake,anaugua kisukari na presha jambo ambalo naona ni tatizo kbwa sana ktk kuanza familia.
Plz advise.