Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,860
Diamond anawashinda wasanii wengi kwa ubunifu na matumizi ya fedha kukuza jina lake.Kwa sisi watu wenye uwezo wa juu kwenye utambuzi ni hivi.
1.Diamond anamtumia Neyo kutangaza jina lake duniani.Anamlipa Neyo anajifanya watapiga show pamoja UK then Neyo anapata sababu ya kumpost D kwenye page yeke.
2.Show ilikuwa mwezi huu na sasa Neyo anasema mpaka mwezi wa tatu.
3.Ikifika mwezi wa tatu,Amini Neyo atatangaza kufutwa kwa show. Na hapo D atawajibika kumlipa Neyo malipo ya mwisho kwa hiyo post ya kufutwa kwa show.Na ndio mchezo utaishia hapo.
Ni akili tu,Ila hongera Diamond kwa masinema ya akili,Wanasema tumia pesa ndio uingize pesa.
Mnisamehe WBC kwa kuweka hadharani hii mbinu yenu.Najua ukweli unauma,Vumilieni tu na mjipange kwa movie nyingine.