Anachofanya Diamond na Neyo ni masinemare, mtaelewa March 2017

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Diamond anawashinda wasanii wengi kwa ubunifu na matumizi ya fedha kukuza jina lake.Kwa sisi watu wenye uwezo wa juu kwenye utambuzi ni hivi.

1.Diamond anamtumia Neyo kutangaza jina lake duniani.Anamlipa Neyo anajifanya watapiga show pamoja UK then Neyo anapata sababu ya kumpost D kwenye page yeke.

2.Show ilikuwa mwezi huu na sasa Neyo anasema mpaka mwezi wa tatu.

3.Ikifika mwezi wa tatu,Amini Neyo atatangaza kufutwa kwa show. Na hapo D atawajibika kumlipa Neyo malipo ya mwisho kwa hiyo post ya kufutwa kwa show.Na ndio mchezo utaishia hapo.

Ni akili tu,Ila hongera Diamond kwa masinema ya akili,Wanasema tumia pesa ndio uingize pesa.

Mnisamehe WBC kwa kuweka hadharani hii mbinu yenu.Najua ukweli unauma,Vumilieni tu na mjipange kwa movie nyingine.
 
n kwl usemacho
 
Diamond anawashinda wasanii wengi kwa ubunifu na matumizi ya fedha kukuza jina lake.Kwa sisi watu wenye uwezo wa juu kwenye utambuzi ni hivi.
Neyo, sawa... analipwa na Diamond kumtangaza! What about Robomagic? Au ndo vile tena yeye ni Dangote zee la manunuzi... linanunua views, tuzo, linanunua radio stations, linanunua mashabiki, sasa kamnunua Neyo na bila shaka Robomagic nao wamepewa chao!!!!!

Afadhali basi ungesema mwisho wa siku inatangazwa Diamond hatakuwapo.....
 
NE-YO RESCHEDULES UK TOUR DATES TO MARCH/APRIL 2017

MANCHESTER / GLASGOW / BRIGHTON / BOURNEMOUTH / BRISTOL / MILTON KEYNES / BIRMINGHAM / LONDON

Due to unforeseeable circumstances NE-YO has regrettably been forced to reschedule his forthcoming UK tour dates this December (7-16). Having previously committed to a television project, a change in the production schedule unfortunately now conflicts with NE-YO’s tour dates.

My fans all over the world mean so much to me. I deeply regret having to reschedule. But I will be back in March and will deliver an unforgettable performance,” explains NE-YO. NE-YO will be rescheduling ALL DATES for March / April 2017.

GRAMMY Award-winning singer, composer, producer, and actor NE-YO (born Shaffer C. Smith) is a talent sought by many artists. Not only does NE-YO have three #1 albums, over 10 million albums sold worldwide and three GRAMMY Awards of his own, he has also written and produced chart-topping hits for today’s biggest stars including Rihanna, Beyoncé, Jennifer Hudson, Usher, Carrie Underwood, Celine Dion and many more. His latest album, Non–Fiction was released in January of 2015. The album reached number five on the US Billboard Top 200, making NE-YO the second male R&B artist to have six consecutive top 10 albums.

NE-YO’s breakout, platinum single “So Sick,” first set the tone for his impending success, which was continued by his first solo album In My Own Words (2006) that debuted at #1 on the Billboard Top 200. NE-YO continued his streak of making hit after hit with his following albums Because of You (2007), Year of the Gentleman (2008), Libra Scale (2010) and most recently R.E.D. (2012). In January this past year, NE-YO released his sixth full-length studio album Non-Fiction, anchored by the lead single “Money Can’t Buy” featuring Jeezy and “She Knows” featuring Juicy J. The album hit the R&B Charts at #1.

In addition to music, NE-YO’s solid career in film includes credits in George Lucas’s RED TAILS (2012), Stomp The Yard (2007), Battle: LA (2011), and Save the Last Dance (2006). Also, in 2007, he founded The Compound Foundation, a 501© 3 non-profit aimed at helping disadvantaged foster-care children learn life-skills.

Recently, NE-YO joined the most popular television series, Empire, as music writer and featured cast mate. The second season of Empire premiered in September 2015. NE-YO also joined the star studded cast of The Wiz Live!, as the Tin Man, which aired live on NBC on December 3, 2015. The Wiz Live! gave NBC its best Thursday rating in two years, since The Sound of Music Live.

In fact, according to TVLive, “Among all broadcast networks, it marks the highest rated Thursday in over a year (since Sept. 25, 2014, when ABC’s “TGIT” season openers averaged a 3.6) and the most watched one since Feb. 19 (when CBS aired the Two and a Half Men series finale).” NE-YO’s performance was widely recognized by critics as “outstanding.”

And currently, NE-YO is featured on the compilation album We Love Disney with NE-YO on the Oscar and Golden Globe Award-winning song Friend Like Me, from 1992’s Aladdin.”

Award winning Tanzanian afrobeat superstar Diamond Platnumz will be joining the tour to showcase his unique sound to UK audiences. As one of his country’s most beloved and decorated stars he is a true influence within the afrobeat world and is set to demonstrate exactly why the genre is becoming a focus in pop music worldwide.

Also joining the tour in London is Capital XTRA’s Abrantee whose signature high energy DJ set is sure to get the Brixton Academy crowd warmed up ahead of the international talent on offer. Tickets, already purchased, will be honoured on the rescheduled dates. Refunds will be available from point of purchase.

SOURCE: Robomagic
 
Hivi domo mziki unamlipa kweli kama unatumia hela nyingi kiasi icho kwa ajiri ya promo tu mfano ananunua tunzo, views youtube, ananunua mashabiki, airtime kwny media za nje na ndani, nahisi na hizi show zake anazofanya atakuwa ananunua na asa iv nasikia kamlipa neyo ili amutangaze kimataifa.....ushauri wangu kwa domo apunguze matumizi mabaya ya hela kwa vitu viaivyo na ulazima kama tuzo coz sioni umuhimu wa kununua tuzo mbn wiz hashobokagi na tuzo na show anapata
 
Hata Bakhresa angeshafilisika.
 
Kwani tatizo lipo wapi ifike mahala tuache ongea ongea vitu visivyotuletea maslahi wanasema ukitembea na mwenye hela utanukia hela pia so muache afanye na tumpe baraka because anahitaji confidence not rumors
 
Una uhakika na unacho ongea??? Au unaongea kwa sema "naskia naskia"


Guys kama hupendi kazi ya mtu kua hivi! [emoji117] [emoji40] nalo ni jibu Mungu anaona
 
mbona sioni kama kuna kitu cha ajabu, Ni akili ndogo tu ndio inaweza fikiria hivo ulivyofikiri!! Eti neyo ajishushie heshima kisa diamond!!!

Kuahirisha show ni kitu cha kawaida tu
na nmesikia kuna baridi la hatari...
hio show wangepigaje
 
TUAMBIENI NA HIZO PESA ZA KUNUNUA KILA SEHEMU ANAZIPATA WAPI .............MAANA KWA JINSI MNAVYOTUAMBIA HAKUNA SEHEMU ASIPOTOA PESA. WCB imesimama,ananunua majumba,anatengeneza video zake na za wasanii wake,wakina sallam,babu tale na Fella, Rayvanny na Harmonize na timu nzima ya WCB wananunua magari na kujenga majumba ya kifahari pesa hii yote anaipatia wapi kama kila sehemu yeye ananunua na aingizi pesa......???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…