Anachokifanya huyu Dada sheria inasemaje?

Mshauri tu aache hiyo tabia na ajue tu hawakomoi watu anajikomoa mwenyewe na sio kila anaetembea nae bac atamuambukiza ukimwi
 
"0
 
Mshauri tu aache hiyo tabia na ajue tu hawakomoi watu anajikomoa mwenyewe na sio kila anaetembea nae bac atamuambukiza ukimwi
Atajijua. Mwenyewe kwa kweli maana akiamua kaamua
 
Vyote vyake, hakuna wa kumpangia matumizi, ila anachofanya sio fair hata kidogo.
 
Kama anawapa wa CCM mwambie aongeze spidi na Bora angemla Kwanza Polepole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…