Hiyo namba Tatu daaah...INA MAANA NDIO TAYARI TUSHAUZWA[emoji27]Wasi wasi ni mkubwa zaidi..., na tena...
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Akisoma hii atajiongezaMsigwa anaonekana kabisa kaandaa mjadala huu wa Bandari kimkakati, yupo kipropaganda, hataki kukosolewa anataka watu waongee anachotaka.
Haruhusu maswali yanayomchallenge na yakiulizwa anayajibu kisiasa anaingia anatoka kama mchwa kwenye kichuguu mwisho hujui hata kajibj nini, kifupi hana anachofanya zaidi ya kuongeza wasiwasi japo yeye anahisi anawapumbaza watu waone mkataba wa bandari uko sawa kumbe anazidisha hofu.
usitukane mkuu,Hebu tuwekee link ili nasi tuone,kabla ya kuanza kumtukana.
Naomba Mungu usiku na mchana waTanganyika wakawa na wivu na nchi yao. Badala ya kuwa sandakalawe.Wasi wasi ni mkubwa zaidi..., na tena...
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Heri yangu niliacha kuwasikiliza hawa JamaaMsigwa anaonekana kabisa kaandaa mjadala huu wa Bandari kimkakati, yupo kipropaganda, hataki kukosolewa anataka watu waongee anachotaka.
Haruhusu maswali yanayomchallenge na yakiulizwa anayajibu kisiasa anaingia anatoka kama mchwa kwenye kichuguu mwisho hujui hata kajibj nini, kifupi hana anachofanya zaidi ya kuongeza wasiwasi japo yeye anahisi anawapumbaza watu waone mkataba wa bandari uko sawa kumbe anazidisha hofu.
Tuna Tanzania na hatuna Tanganyika!.Mtanzania anayo haki ya kuhoji na kujibiwa,lakini kwa mizimu ya marehemu Tanganyika,haki hiyo haipo.Msigwa anaonekana kabisa kaandaa mjadala huu wa Bandari kimkakati, yupo kipropaganda, hataki kukosolewa anataka watu waongee anachotaka.
Haruhusu maswali yanayomchallenge na yakiulizwa anayajibu kisiasa anaingia anatoka kama mchwa kwenye kichuguu mwisho hujui hata kajibj nini, kifupi hana anachofanya zaidi ya kuongeza wasiwasi japo yeye anahisi anawapumbaza watu waone mkataba wa bandari uko sawa kumbe anazidisha hofu.
Sasa huyo sinimwehu moja kwa moja!.Watu tunaijadili Tanzania,yeye anamleta marehemu Tanganyika alizikwa mwaka 1964!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna moja kablokiwa kisa kasema watanganyika hawakuhusika kwenye kusaini mkataba
Danganya ambao awajashiriki mm nimeshiriki watu walipewa fursa sema Kuna wajinga wawili mmoja alianza kulia na mwingine kuleta ubaguziMsigwa anaonekana kabisa kaandaa mjadala huu wa Bandari kimkakati, yupo kipropaganda, hataki kukosolewa anataka watu waongee anachotaka.
Haruhusu maswali yanayomchallenge na yakiulizwa anayajibu kisiasa anaingia anatoka kama mchwa kwenye kichuguu mwisho hujui hata kajibj nini, kifupi hana anachofanya zaidi ya kuongeza wasiwasi japo yeye anahisi anawapumbaza watu waone mkataba wa bandari uko sawa kumbe anazidisha hofu.
Sasa ww unaona n sawaKuna moja kablokiwa kisa kasema watanganyika hawakuhusika kwenye kusaini mkataba