mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Moto aliouwasha TP Mazembe msimu huu, waliouota ndio wanaweza kuusimulia!! Wamethibitisha kuwa weao ni top class, no matter what!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaulizia makhagali ilihali umeshikilia mkuyengeKwenye line up yao nimeona jina la Tonombe. Huyu ni yule aliyekipiga Yanga?
Ndio nini sasa? Acha upumbavu!Unaulizia makhagali ilihali umeshikilia mkuyenge
Moto aliouwasha TP Mazembe msimu huu, waliouota ndio wanaweza kuusimulia!! Wamethibitisha kuwa weao ni top class, no matter what!!
View attachment 2847905
Ujinga na upumbav ni kumfokea mtu usie muona.Ndio nini sasa? Acha upumbavu!
Kutoa lugha chafu kwa mtu usiyemuona ndio akili? Mpumbavu kabisa wewe!Ujinga na upumbav ni kumfokea mtu usie muona.
NdioKwenye line up yao nimeona jina la Tonombe. Huyu ni yule aliyekipiga Yanga?
ana pyramid home!Kumbuka tp kaishamalizana na nouadhibou.
Moja ya makundi magumu msimu huu, hili ni mojawapo. Ukiangaloa kwa umakini hapo, utagundua hakuna timu iliyo jihakikishia nafasi ya kufuzu hatua inayofuata kwa 100%Moto aliouwasha TP Mazembe msimu huu, waliouota ndio wanaweza kuusimulia!! Wamethibitisha kuwa weao ni top class, no matter what!!
View attachment 2847905
Noadhibou ni wa Mauritania kama sikosei.ana pyramid home!
kule egypt alipigwa 1-0!
kiufupi ana nafasi ya kufuzu, maana pyramid ana game 2 (dhidi ya tp away na hao wa burkinabe home)
Asante mama, endelea na michamboKutoa lugha chafu kwa mtu usiyemuona ndio akili? Mpumbavu kabisa wewe!