Anachokifanya TP MAZEMBE ni ushahidi kuwa Class is permanent, form is temporary!!

Kumbuka tp kaishamalizana na nouadhibou.
ana pyramid home!
kule egypt alipigwa 1-0!
kiufupi ana nafasi ya kufuzu, maana pyramid ana game 2 (dhidi ya tp away na hao wa burkinabe home)
 
Moto aliouwasha TP Mazembe msimu huu, waliouota ndio wanaweza kuusimulia!! Wamethibitisha kuwa weao ni top class, no matter what!!
View attachment 2847905
Moja ya makundi magumu msimu huu, hili ni mojawapo. Ukiangaloa kwa umakini hapo, utagundua hakuna timu iliyo jihakikishia nafasi ya kufuzu hatua inayofuata kwa 100%
 
ana pyramid home!
kule egypt alipigwa 1-0!
kiufupi ana nafasi ya kufuzu, maana pyramid ana game 2 (dhidi ya tp away na hao wa burkinabe home)
Noadhibou ni wa Mauritania kama sikosei.
Kabakisha game na pyramids na mamelodi.
 
kundi lipo wazi lolote linaweza kutokea hata mazembe anaweza asipite kwenda robo.angekua walau ana point 10 kuendelea labda tungesema Mazembe yuko moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…