Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 441
- 1,065
Tundu Lisu ni mwalimu wa elimu ya uraia na kujitambua japo mwenyewe hajui.
Tundu Lisu anadamu ya kufundisha haki, demokrasia lakini yeye na wanaomzunguka wanamuaminisha kuwa ni mwanaharakati ndio maana mission zake hazifanikiwi kwa asilimia kubwa
Anachokifanya kwa sasa hakiwezi kuleta matunda mapema. Anachofanya ni kupanda mbegu kama ambavyo mwalimu hutoa maarifa pole pole kwa hatua ili hatimaye kufikia malengo yaliyokusudiwa
Kinachomfanya Lisu asifikie malengo ni kutaka matokeo ya haraka kama wanaharakati wengine
Elimu ni "endless process" ambayo matokeo yake huja taratibu.
Elimu ya kukataa tume ya uchaguzi ambayo ilishaanza michakato yake anayoiita "haramu" tangu mwaka jana ni vigumu kutekelezeka kwa kipindi hiki. Hii ilipaswa kufanyika miaka minne iliyopita sio sasa