Anachotaka ni mimba tu!



waliooa wanawake wasio na bikira mna shida kweli, poleni sana.
Jamaa yako ksha kumbushia tayari,
 
bora ulivomuambia mana ni atagandwa mpaka atatamani kurudisha siku nyuma zen akatae kufanya ilo tendo ila haitawezekana tena
 
aachane naye.....atulie na ndoa yake.....
tena hata asimpe nafasi ya kumzoea kabisa mana atategwa zen akishindwa kuuvuka huo mtego hasara kwake
zinaa inakimbiwa haikemewi
 
jamani naomba msaada wa namna ya kuweka picha ktk profile yangu hapa JF.
 
Mhh ushauri anaoomba na atakaopewa ni mmoja tuu
Aheshimu ndoa yake na mke wake na mtoto wake
hakuna kingine cha kumwambia maana kama yalishapita kwa huyo mama wa zamani yashapita na aheshimu ndoa ya mwenzake
Na jamaa ajifikirie mkewe akijua itakuwaje
na huyo mama amejuaje kuwa akilala nae siku ya kwanza tuu atapata mimba anayoyotaka
na ni uhakika gani anaomwambia kuwa nataka tuu mtoto malezi niachie
Je akinogewa na penzi la jamaa na akarudi kuisumbua ndoa yake
Je mtoto akizaliwa na malezi yakamshinda huyo mama na akaja kumsumbua huyu jamaa kwenye ndoa yake itakuwaje
Kuna uhakika gani kuwa malezi yatakuwa kwa mama tuu bila jamaa kushirikishwa
 
iko cha msingi zaidi
 
waliooa wanawake wasio na bikira mna shida kweli, poleni sana.
Jamaa yako ksha kumbushia tayari,

Umenifanya nicheke peke yangu japo jambo ulilosema ni la kipuuzi. Umenikumbusha rafiki yangu aliyeoa bikira kumbe ni yeye peke yake pale kitaa alikuwa hajawahi kumnanihii huyo demu. Siku hizi hizo kitu zinatengenezwa. Lakini pia iko hivo, baada ya ndoa ya hiyo bikira unayotamani sana, yanapatikana "mafiga" mawili ya kukusaidia. Yatakuwa yanakumbushia kila mara!! Hahahahahh!!
 
Nimegundua hii siku hizi. Issue ikinitokea tu nasema jamaa yangu!!
 
hebu ampe hiyo mimba haraka sana, kwani rafiki hayo hana mayai?

Mwanamke kumuomba mimba mwanamme ujue yamemfika. Tena akichelewa naenda Dar kumpa mie mwenyewe
Ujue anaweza zaa rais.
 

Nimekusoma kaka Rocky..
 
hebu ampe hiyo mimba haraka sana, kwani rafiki hayo hana mayai?

Mwanamke kumuomba mimba mwanamme ujue yamemfika. Tena akichelewa naenda Dar kumpa mie mwenyewe
Ujue anaweza zaa rais.
t

tehtehteh..Kongosho bwana!...ila ujumbe wako nao utafanyiwa kazi!
 
Nimegundua hii siku hizi. Issue ikinitokea tu nasema jamaa yangu!!

Mkuu usiogope bwana kusema kama issue ni ya kwako..hata mimi ingekuwa ni ya kwangu ningesema tu bro..after all hapa hatufahamiani!..so, elewa tu kwamba ni issue ya mshkaji na inaweza kuwasaidia na wengine wenye tatizo linalofanana na hili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…