Ras wakambo
Member
- Nov 22, 2011
- 71
- 6
bora wewe mimi napata shida na demu niliyemfungua mlango sasa ameolewa ila anataka tuliendeleze libeneke. Nahic mme wake hamchapi vilivyo sasa wewe mchape vizuri atamsahau tu
Unamuongelea SL? Manake kakake Ashadii akiibuka huko unakula server ban!
i think this is more right!!Huyo yuko heart broke mpe chance ya kuheal, maana ukiyavaa mapenzi yake kwa sasa utakuwa ni rebound
bora wewe mimi napata shida na demu niliyemfungua mlango sasa ameolewa ila anataka tuliendeleze libeneke. Nahic mme wake hamchapi vilivyo sasa wewe mchape vizuri atamsahau tu
huyo demu ana miaka mingapi
Hua inatokea 2 most women hua ni ngum kusahau their first lovers nadhan ni nature,play your part kumsahaulisha atasahau litle by litle
ana miaka 34