<br />
<br />
hapo ntakua namdanganya 2,cjajiandaa kwa hlo sa hz.
[h=2]<img src="https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png" alt="" border="0"> Anadai eti cko serious![/h]<div style="margin-left:40px"> Bwana yesu asifiwe wakuu!!kuna mdada flan hv nimetokea kumpenda kwa dhat,sasa bahat mbaya me ni m2 wa utan sana so nimempga sound akanambia eti me cko seriously na ka nko seriouz,bas inabdi nfanye k2 ili kumuaminsha,kiukwel nimetokea kumfil huyu mmanz.naomben mnisaidie nifanyeje ili aweze kuelewa kuwa namhtaji kiukwe!mbarikiwe...
hapo ntakua namdanganya 2,cjajiandaa kwa hlo sa hz.
we kweli haupo serious.....
mwmbie nataka kujitambulisha kwenu but sijajiaanda na sitaweza
kuahidi chochote for now, halafu yeye atakushauri
mwambie ukajitambulishe kwao.....case closed[/QU
umemaliza boss. . .
amen. kama umemfeel kajitambulishe kwao, usilete utani wa kusema hujajiandaa, kwani kujitambulisha ni kumuoa?