@judgement
umeongea kwa uchungu?
@judgement
umeongea kwa uchungu?
habari za masiku wana-mmu?
Katika hali ya maisha ya kutafuta mpenzi nilikutana na msichana mmoja na tukakubaliana kufunga ndoa ila kinachonitatiza katika mazungumzo yetu kuna siku alidai kuwa yeye anachelewa kushika mimba ile hali anadai hajawahi kuzaa wala kuolewa. Jamani nisaidieni inawezekana mtu kujitambua anachelewa kushika mimba bila kubeba mimba au ndiyo nanunulia mbuzi kwenye gunia? Naombeni mawazo yenu tafadhali
HEART ! Tutake Razi (radhi) kabla jua halijazama sie TUWAZAENI kisha tuwe wabaya ? Kabla ya kuwazaa tunahangaika kutafuta pesa za mahari kwa MBINDE tukawaoa mama zenu tena some times panatokea competetion wanaume watatu kumfatilia mchumba mmoja hatimae mmoja anaoa tunaanza maisha na mama zenu nyumba za kupanga nyie tunawalea tunawasomesha leo mmekua unachukua simu/labtop ambayo siajabu nimekununulia mie Baba yako kisha wasema wanaume (means Akinababa) WABAYA ? Ndiyo shukurani yenu hiyo ?
Hahahhaaa..umeona eeeh! akitoka hapo akakutangazie vizuri....Otherwise kipimo cha kuoa au kuishi na mwanamke kinaenda sambamba na uwezo wa mwanamke huyo kuzaa?? wanaume wabaya nyinyi..
NDIYO KONGOSHO INAUMA! tena si unaona kaingia mitini anakwepa kututaka opology, subiri baadae nimuanzishie Thread !. Salama yake aombe radhi au apigwe fine ya kuanzisha a particular thread ya apology.
Kwani hapa tunaongelea mapenzi ya baba na mwana?? Btw, wewe kama baba mchango wako ni mdogo sana ktk kunileta mie duniani, hujanizaa.......kwanza hata leba hupajui achilia mbali ile misukosuko ya miezi 9!!!
Hilo tu ndo limekuuma Mr Judge au kuna la ziada??