Naona umepata ushirikiano wa kutosha, kwa ajira ya haraka sana kama ni mwanaume mpeleke Dar es salaam Maritine Institute (DMI), ajira ni za kufikia akimaliza.
hamna tatizo chuo cha civil aviation ada za chuo inategemea na kozi airhostel ni kama laki tisa na nusu kwa mwaka
la kuhusu pilot training na aircraft sifahamu kuhusu hostel ninahisi hamna