Kama ni mwalimu ulitaka apate kazi wizara ya Madini?Pole sana Mwalimu kwa kupata kazi ya kiboya sana.
Kwanini unapakimbia Liwale? Tuanzie hapo kwanzaNatafuta mwalimu wa kubadili nae kituo cha kazi, Mimi nafundisha biology secondary elimu diploma nipo liwale mjini shule mpya mangirikiti sec O_level and advance
Nahitaji kubadilishana na wa morogoro, Tanga, mbeya municipal, Iringa , mwanza
Ukihitaji njoo dm
Ili nae aingie kitaa kubalance Equation iliyokushindamimi ni mwalimu sina kazi, tunaweza kubadilishana?
Sawa nitashukuru sanaMangirikiti haipo Liwale mjini , but ni karibu tu unaweza kuishi mjini asubuhi unaenda na boda unarudi ukimaliza kazi.
Yote maisha. Ngoja takupa number ya jamaa mmoja yuko Vikindu mwalimu wa masomo yako yeye kwao Liwale labda anaweza kukubali
Naunga mkono hojamimi ni mwalimu sina kazi, tunaweza kubadilishana?
Akiwa tayari naomba nijuzeMangirikiti haipo Liwale mjini , but ni karibu tu unaweza kuishi mjini asubuhi unaenda na boda unarudi ukimaliza kazi.
Yote maisha. Ngoja takupa number ya jamaa mmoja yuko Vikindu mwalimu wa masomo yako yeye kwao Liwale labda anaweza kukubali
Upo, tunafanya Sub maana wewe umechokaSij
Huo utaratibu sijawahi kusikia
Ukiusikia unijulishe, huku hali tete.Sij
Huo utaratibu sijawahi kusikia