Inawezekana huko alipo hapaja changamka. Kuna mikoa ukipelekwa unajikuta akili inadumaa kabisa, na usiposhtuka mapema unaweza kujikuta na wewe unaongea kilugha chao.
Ila kwa namna nyingine anaweza kutumia kama fursa kibiashara.
Kuna watu mnakua kama hamnazo” kutwa kucha kuwatukana walimu alafu asubuhi unamshika mkono mwanao unampeleka shule kwa mwalimu unayekesha kumtukana sasa hapa mjinga nani?
Mie nitoe 2M uje shule ya fumagila Mwanza nyamagana mjini kabisa hii hapa mwalimu mwenzangu. Mana huko ndiko kwetu nilikuwa nawaza namna ya kupata mtu wa kubadilishana Naye ili niende home