Anae jua Kabila LA wa kimbu

Juru

Senior Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
136
Reaction score
38
Hello ndugu , Mimi ni mmoja wa asili ya kabila hili but nimekuliaa sehememu tofauti ambapo hawazungumzi hii lugha na hua na tamani sana kujua kuongea lugha yangu ambayo ni asili ya ukoo wangu, hivyoo naomba kwa yoyote anae jua kuzungumza au anaee jua ata kidogo basii naomba msaada ndugu yake namiee nijifunze kupitia kwake,
Nawasilisha kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…