Anae nidrive craizy ni kicheche.

Wewe unatumia energy nyingi nje na unapokutana naye una less feeling kwake kitu kinachofanya usishughulike ipasavyo kwake ila anakudrive sana,chamsingi jaribu kutulia naye kwa muda na ujaribu kumteka kihisia na kivitenda na usimpe nafasi ya kupata huduma kwa vicheche wenzake then ukifanikiwa hilo na ukirizika naye mpe mimba,utafaidi sana mapenzi yake.
 
Siku ukiamua kutulia na kuwa serious, basi na yeye atakuwa hivyo hivyo!
 
u two are perfect match, mnafaana kwa kuwa wote ni vicheche but honestly hizi sio zama za kuwa vicheche, nyote wawili mnahitaji kuchange na kuacha mambo ya ajabu la sivyo mwisho wenu ni mbaya sana
 
u two are perfect match, mnafaana kwa kuwa wote ni vicheche but honestly hizi sio zama za kuwa vicheche, nyote wawili mnahitaji kuchange na kuacha mambo ya ajabu la sivyo mwisho wenu ni mbaya sana
Waambie hao
 
Acha umalaya na ukicheche bro!! Si ujanja huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…