Hawa ndio hudai wameonewa na NECTA. Kama mnasoma thread yake haieleweki na ameipanga mwenyewe, mnategemea katika mitihani ya NECTA aliandika nini? Aliyewanyima mwanya watanzania kupata Elimu bora ndio chanzo cha Matatizo ya nchi hii. Inabidi atafutwe kwa juhudi zote na alaaniwe daima