Fanya twende tukaulizie...
hahha you must be kidding right?Nitakuwa hapo nimevaa T-shirt iliyoandikwa Jamii Forum .. Ukiniona unicheki
Sent From My Nokia Ya Tochi
yap ila kuna zile za bure pia
tutawasiliana PM shogaNipe namba yako kabisa baadae tukutane
leadersIvi I kitu bado IPO.. Inafanyka wapi,
utanikuta huko hukoSawa....nikukute wapi
utanikuta huko huko
ntakua hapo hapo kwenye nyama,siwezi specify mana sitakaa sehemu moja si unajuaLeaders pakubwa pale
Hayantakua hapo hapo kwenye nyama,siwezi specify mana sitakaa sehemu moja si unajua
😉tutawasiliana PM shoga