Gelevaheke
Member
- Apr 18, 2013
- 77
- 5
Elimu yangu ni form four nimemaliza 2008 kutokana na ukata sikuweza kujiendeleza na kisomo ila kwa sasa nimeona kuwa kuna upungufu mkubwa sana kwa walimu shule za msingi nimeona nijaribu tena bahati yangu niombe kujiunga na chuo ili elimu nilio ipata ya form four niwape na wa tanzania hawa wadogo naombeni ushauri maana niko serious sana umri wangu miaka 24