Anaefahamu kufanya manunuzi kupitia Alibaba App au WEBsite

DeluxeP

New Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Wadau naomba msaada kwa yeyote anaefahamu kufanya manunuzi kupitia Alibaba App au WEBsite.

Msaada tafadhali.
 
Mkuu kwa AliExpress pale kwenye
Confirm oder kuna promo code hua unajaza. Nn

god is good
kama hauna hiyo code unaacha wazi (hiyo ni code ya mtu aliyekushawishi ununue bidhaa)
hakikisha unapitia vizuri customer review, kuangalia kama anapositive review ama -ve ndiyo nyingi
 
kama hauna hiyo code unaacha wazi (hiyo ni code ya mtu aliyekushawishi ununue bidhaa)
hakikisha unapitia vizuri customer review, kuangalia kama anapositive review ama -ve ndiyo nyingi
Ahsantee mkuu

god is good
 
Ninataka kuorder simu lakini bei yenu Duh sio rafiki
 
Link iko wapi tujoin group
 
Alibaba wamejaa matapeli kama hauko vizuri kichwani utajikuta umeshawishiwa kutuma pesa kwa w/union au personal acc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…