Anaehitaji majogoo ya Mbegu

Anaehitaji majogoo ya Mbegu

mwelase

Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
84
Reaction score
22
Nauza majogoo makubwa yaliyo changanywa na KUCHI... Yana kilo 4..nimeyatoa kwa wasukuma... Jogoo moja elfu 35...Nipo ubungo kona vituo viwili mbele kutoka ubungo stendi...my number is 0717578551
 

Attachments

  • 1393175099919.jpg
    1393175099919.jpg
    86.2 KB · Views: 260
Kilo nnne ni hao ninaowaona ama wakishakuwa wakubwa
 
Wako heavy mno..uyo mweupe bado mdogo nahisi Akikua atakua balaa..ni mtemi sana
 
Bluetooth if Ur serious Nicheki kwenye hiyo namba
 
Unatumia mzani gani bro...Hao ni kuku kutoka usukumani..ni mchanganyiko wa mbegu kubwa...hapo walipo bado wanakua so kuwa uzito kuzidi huo ni kitu cha kawaida sana
 
Back
Top Bottom