Anaehitaji vifaa vya ujenzi kwa bei poa unaletewa popote ulipo

Latifaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
501
Reaction score
259
Kwa wanaohitaji vifaa vya ujenzi popote ulipo tunakuletea Kwa bei nzuri, ndani na nje ya dar es salaam yaani mikoani. Karibuni sana
 
Kwahiyo unatuletea hadi site? Maana umesema polite pale ulipo tunakulete,
 
Kampuni au ofisi zenu ziko wapi? Na vifaa gani vya ujenzi? Kuna mabati,mbao,tiles,rangi,nk sasa nyie mnashughurika na kipi kat ya hivyo maana hizi fursa nyingine sio mwanzo wa kuwaingiza watu chaka,Mshavunja magodown ya watu sasa mnataka kuuza mzigo faster faster hii sio poa kabsa kuwa muuwazi kama kitu au biashara ya halili......kweli itakuweka huru............KARIBU Tanganyika Tanzania ya jana sio ya leo
.
 
Mbao 4×2 treated feet moja bei gani?na 2×2 pia
 
Mbao 4×2 treated feet moja bei gani?na 2×2 pia

4x2 ft12 bei ni 8000 na ndefu ft1 bei ni 950 na 2x2 bei ni 4000ft 12 na ndefu bei ni 450 ft1 tunakuletea hadi ulipo mbao safi treated
 
Niko bukoba mjini naitaji bati msauzi geji 30 pc 13, nitapata?
 
kama uko seriuos weka contacts na physical address tuje ofisini kwako
 
Tiles za China Grade 1 rangi ya cream za size 50 x 50 bei gani? Na 60 x 60 bei gani? Nipe bei tufanye biashara
 
Nami nipo Kakonko huku naomba bati bundle 2 nimalizie banda langu mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…