Anaeifahamu St. Joseph ya Arusha

slmmfm

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
304
Reaction score
65
Waungwana vip kuhusu hicho chuo, kuanzia mazingira ya kujisomea mpaka ubora wa kiwango cha elimu kinachotolewa hapo.

Vipi kwenye soko la ajira endapo nikisoma bachelor of education katka hicho chuo

Je gharama zao za hostel zikoje?

Mwisho naomba kufahamishwa web site yao maana nikifungua web ya st joseph nashindwa kuelewa nifanyeje ili nipate detail za campus yao ya ARUSHA!!
 
As am cmng from arsha i had never heard abt st joseph campus bt there is only a high xul
 

Gharama zao ni: tuition fee 1,820,000 stationary 100,000 examination fee kwa mwaka >{120000} hostel 240000 kwa mwaka. Kuhusu quality ya education bado Chuo ni kipya(kina intake moja tu), website yao ni sjuit.ac.tz kinapatikana Kisongo (Arumeru)
 
As am cmng from arsha i had never heard abt st joseph campus bt there is only a high xul
Kama unazungumzia St. Joseph ngarenaro high school zipo karibu sana lakini st.Joseph university inapatikana kona ya kuelekea ya kiwandani(A to Z)
 

St joseph kwa ujumla hakuna kitu mkuu, bora hata usome diploma katika vyuo vya maana, st joseph wanatakiwa kushitakiwa kwa kupotezea muda vijana ambao ndo nguvu kazi. Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…