Anaeijua tafsiri ya wimbo wa affaire d'etat wa Koffi Olomide anisaidie hapa

Ni ya mwaka gani hii? Jamaa anaonekana bado barobaro tu.

Wakoo kwa kupenda kua weupe sijui nani kawarogerezea na bahati mbaya sasa ni weusi tii.
 
##NjeYaMada##Jamaa(wakongo)%kubwa wanapenda Sana kujivika Urembo bandia##NjeYaMada##
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…