kwa kuongezea unaweza tembelea duka la zizou mkabala na machinga complex ya kwanza kama unatokea al kkoo wana mostly used spare part
kwa mpya kuna mzee wa kichaga yuko kati ya msimbaz bg bon na fire.. hapo kati kati mkono wa kushoto..
nimesahau duka lake linaitwaje ila lipo frame za mbele kwenye mwendokaa kabisa