Bro Mesh
Member
- Mar 24, 2014
- 70
- 18
Jamani naombeni msaada wanajamvi kwa Program Bsc of Computer engineering and Information Technonlogy tution fee halisi ni shilingi ngapi?Maana kwenye TCU guide book ya 2014/2015 ada ya hyo program ni 900,000=. Wakati kwenye list of approved fees for Tanzania universites inayopatikana site ya TCU ada imeandikwa 2900,000/= .wakati huohuo document nlio ipata kupitia site ya chuo inaonyesha tution fee ni 900,000 wakati huohuo tena kwenye address hiyo The UAUT inaonyesha tution fee ni 2900,000/=.
Anaefahamu tutin fee halisi naomba anijulishe wanajamvi.Au kinachoendela hapo ktk hicho chuo anisaidie.Jamani
Nawasilisha wakumbwa
Anaefahamu tutin fee halisi naomba anijulishe wanajamvi.Au kinachoendela hapo ktk hicho chuo anisaidie.Jamani
Nawasilisha wakumbwa