Anaejua kuhusu pesa

Anaejua kuhusu pesa

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,667
Habari wana JF,

Naomba kusaidiwa kujua jibu la swali langu, ni vigezo gani vinazingatiwa wakati wa kuchapishwa pesa?

Kwa mfano Tanzania ikitaka idadi ya noti za shilingi 10,000 zichapishwe 1,000,000 ni vigezo au masharti yepi inabidi itimizwe au wanatoa tu idadi ya noti?

Au idadi ya noti za kila nchi ni sawa?
 
mike moloney, ..hidden secrets of money google ni balaa
 
Mkuu.mm niulize kuhusu miamala ya TIGOPESA na jinsi ya kuwa wakala Mkuu.na pia ni kiasi gani utatozwa kwa kila muamala.ni hatareee sana kwa hio fani.
Niambie unavyoelewa wewe, unaweza kunisaidia pia
 
Mkuu.mm niulize kuhusu miamala ya TIGOPESA na jinsi ya kuwa wakala Mkuu.na pia ni kiasi gani utatozwa kwa kila muamala.ni hatareee sana kwa hio fani.

Anzisha uzi wako nikijibu mkuu
 
KUFALAZIMA
nahisikama una kitu kuhusu uzi huu
funguka

pesa ni makaratasi tu ,pesa ni deni la thamani

HELA NI MABADILISHANO YA UHURU NA MDA

BENKI WANAHIFADHI TARAKIMU NA MAKARATASI

HELA NI ZA UKOO MMOJA FEDERAL USA

HELA NI IBILISI ANAKUSANYA WATU

WATU WAMESHATEKWA KILA MTU ....PESA NDO KILA KITU

PESA ITAPOTEA HAPO MBELE
 
Ujumbe wako mzito sana,mkuu tufafanulie kwa unahisi hela zitapote baadae
 
Habari wana JF,

Naomba kusaidiwa kujua jibu la swali langu, ni vigezo gani vinazingatiwa wakati wa kuchapishwa pesa?

Kwa mfano Tanzania ikitaka idadi ya noti za shilingi 10,000 zichapishwe 1,000,000 ni vigezo au masharti yepi inabidi itimizwe au wanatoa tu idadi ya noti?

Au idadi ya noti za kila nchi ni sawa?

Mimi navyojua kiwango cha kuchapishs noti kinapangwa na IMF na WB kulingana na hali ya uchumi wa nchi.Kama nchi zingekuwa zinajiamulia kuchapa pesa kungetokea marais vichaa ambao wangechapisha mihela mingi bila mpangilio ili kutatua changamoto mbalimbali za nchi zao.Kwa sababu mambo yote yanaratibiwa na wakubwa wa Bretton Woods (kama sikosei) ndio maana hili halitokei.
 
Ujumbe wako mzito sana,mkuu tufafanulie kwa unahisi hela zitapote baadae

ili kufanya biashara au kupata huduma itabidi kila mwanadamu awe na tarakimu zake mwilini zilizoambata na muhuri wa 666 .Chukua ganda la pombe au bidhaa za vilevi angalia kwenye kibox chenye mistari mingi utakuta 6 zipo 3

tumeshaanza na kadi za benki na visa
 
Mimi navyojua kiwango cha kuchapishs noti kinapangwa na IMF na WB kulingana na hali ya uchumi wa nchi.Kama nchi zingekuwa zinajiamulia kuchapa pesa kungetokea marais vichaa ambao wangechapisha mihela mingi bila mpangilio ili kutatua changamoto mbalimbali za nchi zao.Kwa sababu mambo yote yanaratibiwa na wakubwa wa Bretton Woods (kama sikosei) ndio maana hili halitokei.

hela ni deni inachapishwa kulingana na mkopo wa almasi na dhahabu(TREASUREY)
 
Debts of gold and silver ndo issue kubwa na kuna familia moja tu ya kimarekani ambayo ndiyo chimbuko la pesa ambao ndio karibu huandaa tawala zote duniani na ndio maana ukienda kinyume na wao pesa yako hushushwa ili usiweze kufanya lolote ktk taifa lako
 
Kwa hyo thamani ya almasi na dhahabu ktk benki yako ndio huandaa kiwango au thamani ya pesa unayotakiwa kuandaa kwa kibali maalum
 
Kwa hyo thamani ya almasi na dhahabu ktk benki yako ndio huandaa kiwango au thamani ya pesa unayotakiwa kuandaa kwa kibali maalum

Na zile nchi amabazo hazina dhahabu inakuaje?
 
debts of gold and silver ndo issue kubwa na kuna familia moja tu ya kimarekani ambayo ndiyo chimbuko la pesa ambao ndio karibu huandaa tawala zote duniani na ndio maana ukienda kinyume na wao pesa yako hushushwa ili usiweze kufanya lolote ktk taifa lako

hela inazungushwa na kutupwa ndo mchezo unaotumika ili kutumikisha dunia nzima
 
Back
Top Bottom