Niambie unavyoelewa wewe, unaweza kunisaidia pia
KUFALAZIMA
nahisikama una kitu kuhusu uzi huu
funguka
Anzisha uzi wako nikijibu mkuu
Ujumbe wako mzito sana,mkuu tufafanulie kwa unahisi hela zitapote baadaepesa ni makaratasi tu ,pesa ni deni la thamani
HELA NI MABADILISHANO YA UHURU NA MDA
BENKI WANAHIFADHI TARAKIMU NA MAKARATASI
HELA NI ZA UKOO MMOJA FEDERAL USA
HELA NI IBILISI ANAKUSANYA WATU
WATU WAMESHATEKWA KILA MTU ....PESA NDO KILA KITU
PESA ITAPOTEA HAPO MBELE
Habari wana JF,
Naomba kusaidiwa kujua jibu la swali langu, ni vigezo gani vinazingatiwa wakati wa kuchapishwa pesa?
Kwa mfano Tanzania ikitaka idadi ya noti za shilingi 10,000 zichapishwe 1,000,000 ni vigezo au masharti yepi inabidi itimizwe au wanatoa tu idadi ya noti?
Au idadi ya noti za kila nchi ni sawa?
Ujumbe wako mzito sana,mkuu tufafanulie kwa unahisi hela zitapote baadae
Mimi navyojua kiwango cha kuchapishs noti kinapangwa na IMF na WB kulingana na hali ya uchumi wa nchi.Kama nchi zingekuwa zinajiamulia kuchapa pesa kungetokea marais vichaa ambao wangechapisha mihela mingi bila mpangilio ili kutatua changamoto mbalimbali za nchi zao.Kwa sababu mambo yote yanaratibiwa na wakubwa wa Bretton Woods (kama sikosei) ndio maana hili halitokei.
na zile nchi amabazo hazina dhahabu inakuaje?
debts of gold and silver ndo issue kubwa na kuna familia moja tu ya kimarekani ambayo ndiyo chimbuko la pesa ambao ndio karibu huandaa tawala zote duniani na ndio maana ukienda kinyume na wao pesa yako hushushwa ili usiweze kufanya lolote ktk taifa lako