Anaejua kwanini Taliban anamvamia Pakistan aje anieleze

Anaejua kwanini Taliban anamvamia Pakistan aje anieleze

Gol D Roger

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
2,316
Reaction score
6,082
Aisee huu mwaka una nn, kila kukicha story mpya za kutatanisha, ukitulia kidogo unasikia wengine wamelianzisha huko, kwasasa naona trend ni Muslim vs Muslim vs Muslim.
Hawa watu wameamua kujiana juu.

Breaking;
Heavy clashes have erupted on the border of Afghanistan and Pakistan.

Taliban soldiers started the clash by attacking the Pakistani Army near the Bajaur-Kunar border.
🇦🇫 vs 🇵🇰

Screenshot_20240120_210815_X.jpg

Pakistan is being hammered by Iran and Afghanistan.
Muslim brotherhood!!!
 
Anachokwepa iran ni vita,tena vita ya kupigana na waislam/nchi za kiislam

Kuna wakubwa wanaitamani sana Tehran

Vita haitatokea kwasababu iran anajua anawindwa
 
Mbona itakuwa ni vita za kijinga waislam kwa waislam kubondana? Ule umoja wao duniani OIC ina kazi gani ikiwa wanachama wake wameingiwa na wehu wa kupigana vita?
 
Aisee huu mwaka una nn, kila kukicha story mpya za kutatanisha, ukitulia kidogo unasikia wengine wamelianzisha huko, kwasasa naona trend ni Muslim vs Muslim vs Muslim.
Hawa watu wameamua kujiana juu.

Breaking;
Heavy clashes have erupted on the border of Afghanistan and Pakistan.

Taliban soldiers started the clash by attacking the Pakistani Army near the Bajaur-Kunar border.
🇦🇫 vs 🇵🇰

View attachment 2877712

Pakistan is being hammered by Iran and Afghanistan.
Muslim brotherhood!!!
Furaha ilioje Ngosha Muslim against Muslims... Hapo Rwanda Christian against Christian. Hallelujah kesho mapema Kanisani kwa Bwajima usisahau fungu la kumi kubeba.
 
Back
Top Bottom