Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Tushazoea kutaja mishahara ya wa wachezaji wa majuu, wabongo magumashi kujua, very undisclosed.
Tusaidiane watoto wa mjini.
Tusaidiane watoto wa mjini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hatariHizi team ndo nyingi mishahara laki 5. Nna mwanangu anakipiga mbeya kwanza, kipindi wanapanda daraja walikua wanalipwa posho tu siku ya mechi na kula msosi kambini basi.
Mpira kwa bongo bado sio ajira ya kueleweka. Yani vijana wanaondesha maisha kwa mikeka wanaeza kuwa wengi kuliko wanaoendesha maisha kwa mpira.
Inasikitisha sanaHizi team ndo nyingi mishahara laki 5. Nna mwanangu anakipiga mbeya kwanza, kipindi wanapanda daraja walikua wanalipwa posho tu siku ya mechi na kula msosi kambini basi.
Mpira kwa bongo bado sio ajira ya kueleweka. Yani vijana wanaondesha maisha kwa mikeka wanaeza kuwa wengi kuliko wanaoendesha maisha kwa mpira.
Hakuna mchezaji bongo anayevuta 20Chama master ndo anavuta m20