Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Duh hatariHizi team ndo nyingi mishahara laki 5. Nna mwanangu anakipiga mbeya kwanza, kipindi wanapanda daraja walikua wanalipwa posho tu siku ya mechi na kula msosi kambini basi.
Mpira kwa bongo bado sio ajira ya kueleweka. Yani vijana wanaondesha maisha kwa mikeka wanaeza kuwa wengi kuliko wanaoendesha maisha kwa mpira.
Inasikitisha sanaHizi team ndo nyingi mishahara laki 5. Nna mwanangu anakipiga mbeya kwanza, kipindi wanapanda daraja walikua wanalipwa posho tu siku ya mechi na kula msosi kambini basi.
Mpira kwa bongo bado sio ajira ya kueleweka. Yani vijana wanaondesha maisha kwa mikeka wanaeza kuwa wengi kuliko wanaoendesha maisha kwa mpira.
Hakuna mchezaji bongo anayevuta 20Chama master ndo anavuta m20