Anaejua ukweli kuhusu jmoney.site

Anaejua ukweli kuhusu jmoney.site

Cendy

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
1,250
Reaction score
2,309
Wakuu habari za weekend naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa cha ulizo langu
Kuna site hii jmoney.site hii site inamatangazo ambapo ukiingiza code flani wanazokupa wabakulipa mpaka sasa nimefikisha dollars 100
Na wanakulipa kwa njia mbali mbali mfano bit cone card western Union na nyingine
Sijatest kuzijuchukua hizo pesa nisije nikaliwa bure nimeona niulize humu maana kuna vichwa vingi ambavyo vimebobea sana kwenye haya mambo
Hii jmoney site ni site ya wapigaji au?
 
Sasa kama umefikisha 100 si utoe unakuja kuuliza nini ?
 
Unatakiwa kulipa chochote kwanza kabla ya ku-chota hiyo $100 ?
 
Wanalipa ila mimi sijatoa,masharti 1,fikisha dollars 150,2.kuwa na watu not less than 40 waliossjili kupitia link yako, 3.uwe umekaa kwenye website yao kwa siku 2,mimi nikitimiza masharti nitajaribu kutoa.
 
bde26c552c2370b26136b6c1a13e7a66.jpg
 
Hawa ni mahaka. It is a scam
Hakuna chochote utakachopata.
Na wanabadirisha jina mara kwa mara et ukmoney, jmoney, sagmoney lakini ndo walewale.
Wanatafuta email zenu tu kisha wana hack.
So be careful.
Ukijiunga wanaanza kuiharck simu yako na email.
Ni kikundi cha majambazi
Nilifanya utafiti na nimejiridhisha na hiki ninachokisema.
Sio mimi tu.
Ingia you tube upate ushuhuda mbalimbali.
 
Wakuu habari za weekend naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa cha ulizo langu
Kuna site hii jmoney.site hii site inamatangazo ambapo ukiingiza code flani wanazokupa wabakulipa mpaka sasa nimefikisha dollars 100
Na wanakulipa kwa njia mbali mbali mfano bit cone card western Union na nyingine
Sijatest kuzijuchukua hizo pesa nisije nikaliwa bure nimeona niulize humu maana kuna vichwa vingi ambavyo vimebobea sana kwenye haya mambo
Hii jmoney site ni site ya wapigaji au?
Wapigaji zipo nyingi na zinafanana link yao ni www.ctmoney.com
Wizi mtupu hakuna ela ya bure
 
Ukifikisha 150$ watakwambia uwataftie referral 40 na hapo ndipo utapo uona mziki hawatakaa wafike 40 hata 10 hawafiki
 
mbona mm nimefikisha refferals kumi? na bado naendelea kutafta ili tuondoe utata wa hii biashara let us as interlectuals tufanye research ndogo. kwa kuwa bado refferals 30 tu kumeet criteria zao na nimeshakaa kwenye link yao zaid ya siku mbili. so najazia hao refferals ndipo tuwe na majibu ya uhakika
 
Hahah guys sio kweli,, hiyo tunaiita SCAM au fraud .. hivi kwa akili ya kawaida do you think kuna pesa za rahisi hivo? Na kama umegundua hiyo site inabadilika jina after some time inakua na jina jipya, last time naona watu wanapost ilikua inaitwa UKmoney.site
Na ukishafikisha ata hiyo 150$ na ukarecommend 40 people stil the money hupatiwi hata cause its scam... Ndivyo ninavojua so far.. so bora utumie bundle lako kwa mambo productive..

And oh yes kabla sijasaau,, ni Bitcoin and not bitcone,,, for more info you can google what does bitcoin refer to..
But also kuna some sites ndio unaweza pata pesa through ads viewing,,but ni amount ndogo sana (0.07 $ per AD ,, ad ni kama tangazo ivi ) but utakua paid through paypal ..etc

Thank you
Ngebo....
 
Back
Top Bottom