Anaejua utaratibu wa kuanzisha kampuni anisaidie

mseza

Member
Joined
Mar 14, 2016
Posts
92
Reaction score
39
Habari zenu wapendwa,

Mimi ni kijana mwenzenu nina ndoto za kuthubutu kuanzisha kampuni yangu ya masuala ya research and consultancy. Hivyo anaejua utaratibu anisaidie ikiwezekana na gharama inaweza kuwa shilingi ngapi.

Ahsante
 
Ingia jukwaa la uchumi na biashara, kuna mada ambayo ni sticky kabisa imeelezea kila kitu kuhusu kufungua kampuni, ina ushauri pia wa nini cha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…