Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo linauzwa elfu 70+ ~35$Ni gari la miaka ya karibuni. Pili ni Lexus, so CIF yake sio chini ya dola 35. Ukiongeza na kodi hapo, kisha ukazingatia thamani ya pesa yetu kulinganisha na dola utaelewa kwa nini imefika bei hiyo.
Angalia bei zake hapo.
Kwahiyo BMW X3 uasema ni sawa na Harrier?Ni sawa sawa na bei ya soda sehemu nyingine utauziwa 500,sehemu nyingine (hotelini) soda ile ile unauziwa 5000 na aliyetumia 5000 kwa soda ile ile ya 500 akajiona yuko sawa.Kinachofanyika katika biashara ya magari au vitu vya luxury wauzaji wanacheza na akili za watu wenye ela.Matokeo yake unanunua gari kwa garama kubwa ambapo kwenye mabonde haipiti n.k
Ina kitu gani cha ziada
Hizo gari bado ni very latesthuoni gari ni latest cheki mwaka Wa hiyo gari..na aina ya gari lenyewe ...hata alphard ya 2018 ni mil 200
Hizo gari bado ni very latesthuoni gari ni latest cheki mwaka Wa hiyo gari..na aina ya gari lenyewe ...hata alphard ya 2018 ni mil 200