Anaelijua hili gari mpaka liuzwe 135M, Nimeshangaa

Ni gari la miaka ya karibuni. Pili ni Lexus, so CIF yake sio chini ya dola 35,000. Ukiongeza na kodi hapo, kisha ukazingatia thamani ya pesa yetu kulinganisha na dola utaelewa kwa nini imefika bei hiyo.
 
Bei kuwa kubwa haina maana ni imara au zuri zaidi kuliko yote;bali wanacheza na saikolojia za wanunuzi hasa wale wenye pesa wanaotaka waonekane tofauti tofauti na watu wanaowazunguka.Ikimaanisha upekee au kulinda status walizonazo.
 
huoni gari ni latest cheki mwaka Wa hiyo gari..na aina ya gari lenyewe ...hata alphard ya 2018 ni mil 200
 
Ni sawa sawa na bei ya soda sehemu nyingine utauziwa 500,sehemu nyingine (hotelini) soda ile ile unauziwa 5000 na aliyetumia 5000 kwa soda ile ile ya 500 akajiona yuko sawa.Kinachofanyika katika biashara ya magari au vitu vya luxury wauzaji wanacheza na akili za watu wenye ela.Matokeo yake unanunua gari kwa garama kubwa ambapo kwenye mabonde haipiti n.k
 
Kwahiyo BMW X3 uasema ni sawa na Harrier?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…