EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
Kwanza natanguliza samahani zangu za dhati kama post kama hii ishawahi tolewa !
mada yangu :- hivi jamani nimekua nikisikia mara nyingi kuwa clouds fm ni radio station ambayo inauwa mziki wa Tanzania !
anaejua anieleze kvp hii radio inahusishwa na lawama hizi !
Mwanamziki inabidi atoe Rushwa ndo muziki wake upigwe,kama utoi pesa basi cd zako zitakuwa zinakula vumbi awazipigi.Pia matamasha wanayoyaandaa lazima ukubaliane na pesa wanayokupa na sio vinginevyo kama vile FIESTA ata kama wanaweza kukulipa million 3 au zaidi,wakisema unapewa laki 2 ukubali vinginevyo wanakudelete na awazipigi tena nyimbo zako.mfano Afande Selle,Mr 2 nyimbo zao ni haramu apo mawingu FM
me ninae mshikaj kabisa ni msanii wa mziki huu.pia kaka yake ni msanii, wote wanafanya rap-HIPHOP.Alichowahi kunambia ni kua hawa mawingu FM wanatabia ya kumwekea msanii limitation ya kushine, akanipa mfano wa wasanii kibao amabao walitoka na wakafana sana ila baada ya mda wakapotea wote, halaf wakaibuka wengine.kinacotokea ni kua wanakutukuza na kukupeleka haya sana, halaf wanakutumia kutengeneza fedha katika matamasha na shoo, then wanakupotezea, labda tu uwemjanja kama akina Jomakini, prof jiz, Ay,FA,Lady jay, n.k ambao wameweza kuweka efforts zao na wamesimama toka walipotoka hadi leo ni mastaa.
Ila hwa wakina king wa Ilala!! mh sijui??
Anayetajwa sana kuua muziki ni jamaa mmoja anaitwa Ruge Mutahaba ambaye ni Meneja wa Kituo hicho.Amekuwa akiandaa matamasha mengi na kuwalipa wasanii fedha za kpuuzi na wanapokataa nyimbo zao zinatupwa kapuni.Aidha,ameanzisha makampuni uchwara mengi ambayo yameteka tasnia nzima ya Bongo Flava kwa lengo la kuwakomoa wasanii wasioendana na sera zake za unyonyaji.Moja ya vitu ambavyo sugu amekuwa akipambana navyo ni Tuhuma zinazomhsu huyu jamaa na January Makamba za kumpora dili la Malaria No More na sasa anatajwa kusajili Chama Hewa na kuchota Mamilioni ya fedha kutoka kwa JK kwa niaba ya wasanii na kuyatafuna.Sugu anasema kwamba,kila mwaka JK anampa jamaa Mil.224.Ni aibu tupu.
me ninae mshikaj kabisa ni msanii wa mziki huu.pia kaka yake ni msanii, wote wanafanya rap-HIPHOP.Alichowahi kunambia ni kua hawa mawingu FM wanatabia ya kumwekea msanii limitation ya kushine, akanipa mfano wa wasanii kibao amabao walitoka na wakafana sana ila baada ya mda wakapotea wote, halaf wakaibuka wengine.kinacotokea ni kua wanakutukuza na kukupeleka haya sana, halaf wanakutumia kutengeneza fedha katika matamasha na shoo, then wanakupotezea, labda tu uwemjanja kama akina Jomakini, prof jiz, Ay,FA,Lady jay, n.k ambao wameweza kuweka efforts zao na wamesimama toka walipotoka hadi leo ni mastaa.
Ebu fafanua kidogo basi nani amesema , kivipi inaua?
Ina maana kila utaka chosia wewe utakileta hapa JF. Jibu ni hapana
Inawezekana umekisikia kwa mtu unayemwamini sana au umesikia hoja nzito iliyongia hasa nakukubalika akilini mwako inayoweza kuwa kweli .So fafanua
Remeber in any game there are looser and winners. Its regulators and not players that should put and observe rules to make a game fairer.
Clouds FM is just single player in tanzania music industry. How can music sucess or failure rely on just this one player?????!!!
sababu kubwa ya kuwekewa limitation ya kushine ni nn hasa !
aah mbona simple UKISHINE = MASHABIKI wengi = KUUZA ZAIDI KAZI YAKO = KIPATO KUONGEZEKA = KUWA HURU NA KUJITEGEMEA!
Mawingu wako against hayo yote............ili wakutumie na kukunyonya
lMuulizeni Juma Nature alichofdanywa na hawa jamaa, kapuni
Anafugwa duh mkuu umeua, lkn huenda kwli jamaa anae ni mutawa wa Ruge so utegemee nini hapo, by the way jamaa kasema pumba tupu hata mie simuungi mkono wala mguu, eti kaambiwa na nani inamhusu nini yeye ZING?F.U.C.K CLOUD FM and RUGE[/QU eki
mchiz haeleweki mwana ukute ni amin au barnaba !!!!!!!!!!
Ngwair ni mlevi hawezi kusimama,muziki kqama kazi unahitaji nidhamu sasa ngwair wakati wote anafonya ulabu atafikiria kutoka kweli na pia huku akiwa na shemeji yetu mtasha anasahau yotenashukulu lakini ukae ukijua karibia radio zote wanachukua pesa kwa wasanii !
labda ungenambia kuhusu hilo la hizo show zao kama fiesta ntakuelewa kwamba jamaa wanawanyonya mwanamuziki !
kiasi kwamba wasanii wakubwa mpaka leo wanashindwa kusimama peke yao mfano ngwair, blue, na wengineo kibao
lililopo hapa ni kukubakli au kukataa kwa hoja au vp !swala la nani kasema hata ukimjua huwezi kufanya lolote !samahani kama na ww ni moja ya wanaofugwa na ruge !!!!!!!!!!!!
mada yangu :- hivi jamani nimekua nikisikia mara nyingi kuwa clouds fm ni radio station ambayo inauwa mziki wa Tanzania ! anaejua anieleze kvp hii radio inahusishwa na lawama hizi !
lililopo hapa ni kukubakli au kukataa kwa hoja .........
Thakas kwa kasfa zako uwe tayari na wewe kupokea kashfa .inawezekana nafugwa au sifugwi na na huyo Ruge. Sasa nakujibu hivi
Inonekana wewe EL MAGNIFICAL medula oblangata yao iko kwenye makalio. Nashindwa kukushangaa Hoja uliyoleta unauliza hivi
Nakujibu kama ulivyonijibu wewewe mwenyewe
Swala la Clouds kama inauwa muziki hata ukijua huwezi kufanya lolote !samahani kama na ww ni moja ya "bongo flavoured" ambaye sucess or failure ya career yake yameshikiliwa na ruge huku hujui ufanye nini zaidi ya kulia lia teh teh teh . Upo hapo??????
Be profeesional heshmu kazi yako fanya kazi kisomi . Kaombe ushauri kwa Mr sugu. kama wasanii wanakula hela za matamasha hata kabla ya kuona mikataba matokeo yake nini?????. Wanapewa chambo wananasa. Umbumbu undio maana mnaliwa hata tigo
Mbaya zaidi kuudhihirisha kuwa unatumia akili ya makalio badala ya ubongo umeandika maneno haya
Inabidi nicheke hahahha. eti kukataa au kukubali kwa hoja . Zaidi ya neno hoja ulioandiika mbona wewe hujandika hoja yeyote zaidi ya kutapa tapa tu kama unataka kuharisha huku choo kikiwa cha foleni..
Hivi mtu akifutilia mimi na wewe nani aliyeandika comment zenye hoja ? au unadhani kweka neno hoja tu kunatoshela iwe hoja ?
Tuendeleee na hoja but dawa ya moto sometime ni moto
sishangai hata shetani ana mawakala wake kanisani !!!!!!!!
maneno ndugu yake kanga inawezekana we ni mvaaji mzuri tu !!!!!!!!!
wasalimie wenzio tht !!!!!!!!!
na baba enu ruge !!!!!!!!!!!!