anaemjua vema huyu muimba gospo

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,659
hata jina lake niliwah ona na cd lakini nimemsahau.kw kimo ni mrefu sio sana.mweupe
nyimbo yake inayombamba zaidi ina beat kama ya singeli hivi.

ila kinachonishangaza ni mtindo wake wa kuperform..yaani ni lazima atafute ndoo ilojaa maji then aje ajimwagie pale mbele huku anaendelea kucheza chini..na anajaa tope kabisa nguo zote hazitamaniki.
huyu ni nani?anatoka kanisa gani..
nini siri nyuma ya huu utumbuizaji wake?au akili zake tu ndo alivo?
nimemuona kwenye mikutano na semina zaidi ya mara moja..imenibid niulize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…